Simba Sports Club
News

VIDEO: Alichosema Kocha Mgunda kuelekea mchezo dhidi ya Coastal

2 Dec 2022

Mgunda amesema tumesafiri na wachezaji 22 na wote wapo kwenye hali nzuri tayari kuipigania timu kupata alama tatu muhimu ugenini.

Mgunda ameongeza kuwa mchezo utakuwa mgumu na Coastal watapambana kuhakikisha tunashinda nyumbani lakini tumejiandaa kikamilifu kuwakabili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story