Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Kocha Mgunda baada ya ushindi dhidi ya KMC

25 May 2024

Mgunda amesema ilikuwa mechi ngumu kutokana na KMC nao kupigania nafasi nne za juu na walitupa upinzani mkubwa lakini tulikuwa bora na mwisho wa siku sisi ndio tuliibuka na ushindi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Mgunda amegusia mipango ya mechi ya mwisho dhidi ya JKT Tanzania.

Advertisement
Back to homepage
Share this story