Matola amesema ameachiwa timu kwa muda mfupi lakini wachezaji wamejitahidi kufuata maelekezo na kupelekea kupata ushindi mnono.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Matola amefunguka jinsi mchezo ulivyokuwa.