Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Kocha Fadlu baada ya ushindi dhidi ya TMA

11 Mar 2025

Fadlu amesema TMA ilikuwa imara kwenye maeneo mengi lakini tulikuwa bora zaidi na wazoefu na hilo limesaidia kupatikana kwa ushindi huo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Fadlu amezungumzia kwa kifupi kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo wikiendi iliyopita.

Advertisement
Back to homepage
Share this story