Fadlu amesema kikosi kimeimarika kuanzia utimamu wa mwili kwa wachezaji hadi mbinu za uwanjani na katika mchezo wa jana tulikuwa na nafasi ya kupata mabao sita mpaka saba kama tungeongeza umakini.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia mchezo wa leo wa kirafiki dhidi ya Al-Adalah.