Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Kocha Fadlu baada ya Ushindi dhidi ya Al-Adalah

30 Jul 2024

Kocha Fadlu amesema kikosi chetu kimeimarika karibia kila eneo na mawasiliano ndani ya uwanja ni makubwa.

Tazama video hii hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia kuhusu Simba Day wiki ijayo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story