Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Kapombe baada ya kumalizia kwa msimu

29 May 2024

Kapombe amesema kuelekea msimu ujao Wanasimba tunatakiwa kuwa wamoja na kushikamana ili kuifanya Simba kuwa bora tena.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe ametoa pia shukrani kwa mashabiki waliokuwa na timu kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa msimu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story