Chasambi amesema haikuwa rahisi kutokana na ubora wa City lakini wachezaji wote walifahamu umuhimu wa kuiwezesha timu kufuzu hatua hiyo ndio maana kila mmoja alipambana kuhakikisha malengo yanafikiwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Chasambi amezungumzia 'assist' aliyotoa kwa Fabrice Ngoma.