Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Chama baada ya sare dhidi ya Power Dynamos

16 Sep 2023

Chama amefunga bao la pili la kusawazisha kwa mpira wa kuzungusha ‘cave’ vitu ambavyo anavifanya ingawa sio mara nyingi.

Tazama mahojiano haya mpaka mwisho, Chama pia amezungumzia mchezo mzima dhidi ya Power Dynamos na mipango ya mechi ya marudio wiki mbili zijazo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story