Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Ahmed moja kwa moja kutoka Eswatini

17 Oct 2025

Ahmed amesema licha ya hali ya hewa kuwa baridi kali hasa asubuhi lakini wachezaji wapo kwenye hali nzuri na wanaendelea vema na mazoezi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametoa ratiba nzima ya timu huku pia akizungumzia Meneja Mkuu, Dimitar Pantev.

Advertisement
Back to homepage
Share this story