Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Ahmed kuelekea mchezo dhidi ya TRA

13 Mar 2026

Ahmed amekiri kuwa TRA ni timu imara yenye wachezaji wengi wazoefu wa Ligi Kuu lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata alama tatu ingawa haitakuwa kazi rahisi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia hali ya mlinzi wetu wa kati Wilson Nangu ambaye Uongozi wa juu ulienda kumtembelea leo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story