Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Ahmed kuelekea mchezo dhidi ya Namungo

30 Sep 2025

Ahmed amesema baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United maandalizi ya mchezo dhidi ya Namungo yalianza mara moja na kikosi chetu kipo tayari kuipigania nembo ya klabu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametoa utaratibu wa uuzwaji wa tiketi na jinsi ya kuingia uwanjani pamoja na wachezaji majeruhi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story