Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Ahmed kuelekea mchezo dhidi ya KMC

10 Feb 2026

Ahmed amesema KMC pamoja nakutokuwa katika nafasi nzuri lakini inaundwa na vijana wenye vipaji vikubwa hivyo tunakiwa kujipanga ili kuweza kupata ushindi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kurejea katika Uwanja wa KMC Complex baada ya muda mrefu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story