Ahmed amesema pamoja na ubora walionao lakini walicheza kitoto ndio maana walipoteza muda mwingi hivyo wasilaumu mwamuzi kuongeza dakika nane kipindi cha pili.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed amezungumzia pia kuhusu mchezo wa fainali ambao tutacheza na Mlandege keshokutwa.