Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Ahmed baada ya ushindi dhidi ya Coastal

9 Mar 2024

Ahmed amesema tuliwatadharisha Coastal na kuwaambia wasituchukulie poa wakajisahu tukafanikiwa kupata bao la pili na kuchukua pointi zote tatu Mkwakwani.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed amezungumzia pia kuhusu mechi zetu za nyumbani kupigwa Azam Complex.

Advertisement
Back to homepage
Share this story