Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Alichosema Ahmed baada ya dua ya Hayati Ali Hassan Mwinyi

23 May 2025

Ahmed amesema mwaka 1993 Hayati, Mhe. Mwinyi akiwa Mgeni rasmi kwenye mchezo wa fainali tulishindwa kumpa furaha ya kutwaa ubingwa lakini keshokutwa Mei 25, mwanae Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar tunaenda kumkabidhi Kombe la Shirikisho Afrika.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amewaomba mashekh kuiombea Dua timu kuelekea mchezo wetu wa Jumapili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story