Azim amesema kwenye mchezo wa leo tulikosa bahati lakini mpira ni mchezo wa matokeo tunahitaji kupambana kwenye mechi ya marudiano ili kufikia malengo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Azim ametaja faida mbili tulizonazo kuelekea mchezo wa marudiano.