Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Aisha Mnunka azungumzia msimu wa 2023/24 ulivyokuwa

14 Jun 2024

Mnunka ambaye ndiye mfungaji bora wa Ligi akitupia mabao 20 amesema ni furaha kutwaa taji hasa ukizingatia tulikuwa tumeupoteza msimu uliopita.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mechi zilizokuwa ngumu kwakwe.

Advertisement
Back to homepage
Share this story