Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahoua mawazo yake ni kuisaidia timu kwanza

26 Feb 2025

Ahoua amesema anafahamu mwisho wa msimu kunakuwa na tuzo ya mchezaji bora (MVP) na kiungo bora ni jambo jema kuvipata lakini kwanza ni kuisaidia timu kufikia malengo yake ya kupata ubingwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahoua ameweka wazi matumaini yake kuiona Simba ikitwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25.

Advertisement
Back to homepage
Share this story