Ahoua amesema ushirikiano ndani ya timu ni mkubwa na ndio maana mambo yamekuwa rahisi kwake kufunga mabao matatu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho mlinzi wa kati Che Fondoh Malone nae ameweka wazi mipango ya timu kuelekea mechi yetu inayofuata dhidi ya KMC.