Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia usajili wa Mukwala

2 Jul 2024

Ahmed amesema Mukwala ni mchezaji aliyekamilika kwakuwa anaweza kufunga pamoja na kutoa pasi za usaidizi (Assist) ndio maana tumemsajili.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia sifa zote za Mukwala na majukumu yake ndani ya kikosi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story