Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia usajili wa Chasambi

8 Jan 2024

Ahmed amesema Chasambi ni mchezaji kijana mwenye kipaji kikubwa lakini baada ya kutua Simba ataingia kikosini taratibu ili asiwe na presha.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu usajili wa nyota wengine wapya ambao tunatarajia kuwasajili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story