Ahmed amesema lengo la Bonanza lilikuwa kuhamasisha mashabiki kununua tiketi kwa ajili ya kuisapoti timu kwenye mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia hali ya kikosi na kauli ya Kocha Fadlu Davids.