Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia safari ya Libya

10 Sep 2024

Ahmed amesema tutaondoka na kikosi cha wachezaji 22 huku msafara ukiwa na watu takribani 46 tayari kwa mchezo huo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed amezungumzia pia kuhusu wachezaji waliopo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania na Guinea ambazo leo usiku zinakutana.

Advertisement
Back to homepage
Share this story