Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia safari ya Angola kesho

8 Jan 2025

Ahmed amesema wachezaji wote wameshiriki mazoezi ya mwisho yaliyofanyika leo hivyo watakaobaki sio kwa sababu ya majeraha bali ni mipango ya mwalimu kwenye mechi husika.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu msimamo wa kundi hili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story