Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia rekodi tulizovunja Kaitaba

21 Dec 2024

Ahmed amesema tulikuwa hatujawahi kushinda katika Uwanja wa Kaitaba kwa misimu mitatu, pia ushindi wa mabao matano ndio mkubwa zaidi msimu huu tangu ligi ilipoanza.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kiwango cha mshambuliaji Elie Mpanzu ambaye amecheza mechi yake ya kwanza leo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story