Ahmed amesema katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma tuna kumbukumbu nzuri na mbaya lakini kwa aina ya maandalizi na ubora wa wachezaji tulionao kesho itakuwa kumbukumbu nzuri tena.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia mapokezi makubwa tuliyopata kutoka kwa mashabiki wetu wa hapa Kigoma.