Ahmed amesema katika kipindi cha misimu mitatu mfululizo hatujawahi kupata ushindi katika Uwanja wa Kaitaba lakini tumejipanga kuhakikisha tunavunja rekodi hiyo ili tuweze kupata pointi tatu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia hali za wachezaji mmoja mmoja.