Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho

2 Feb 2024

Ahmed ameusifu Uongozi wa Mkoa kwa kuutunza vema Uwanja wa Lake Tanganyika ambao unastahili kuchezwa mechi za Ligi Kuu ya NBC hasa eneo la kucheza.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya Ahmed amezungumzia pia kuhusu mipango ya timu kuelekea mchezo huo

Advertisement
Back to homepage
Share this story