Ahmed amesema kikosi kimefanya mazoezi ya mwisho na nyota wetu Clatous Chama aliyekuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa nae amerejea.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu waamuzi wa mchezo ambao tayari wamewasili.