Ahmed amesema pamoja na ugumu wa ratiba unaotokana na kucheza mechi kila baada ya siku mbili lakini tupo tayari kupambana na JKT ambao wana wachezaji wengi wenye uzoefu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia uwepo wa wachezaji ambao walichezea kikosi chetu wakiongozwa na nahodha John Bocco.