Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia maandalizi kuelekea mechi ya kesho

10 Mar 2026

Ahmed amesema wachezaji wote wameshiriki mazoezi ya mwisho yaliyofanyika jioni katika Uwanja wa Airtel na wapo tayari kwa mchezo wa kesho.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amegusia masuala ya kanuni ambazo timu nyingi zinashindwa kuzifuatilia.

Advertisement
Back to homepage
Share this story