Ahmed amesema kikosi kitaondoka na msafara wa watu 50 huku wachezaji wakiwa 22 ambapo kitapitia Instanbul Uturuki kabla ya kuunganisha Ndege na kitawasili Tunisia saa 10 jioni.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amewamwagia sifa wachezaji wetu pamoja na kikosi cha Simba Queens.