Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia kuhusu timu kuelekea Algeria

3 Dec 2024

Ahmed amesema kikosi kitapita Instanbul Uturuki kabla ya kuunganisha hadi Algiers, Algeria na baadae kuelekea katika mji ambao tutaenda kucheza na Constantine.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu hali ya kikosi pamoja na wachezaji watakaosafiri.

Advertisement
Back to homepage
Share this story