Ahmed amewatoa hofu Wanasimba kutokana na video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha matukio yaliyotokea ambapo amesema Mamlaka za soka nchini wameona kilichotokea na hatua stahiki zitachukuliwa.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mshambuliaji Steven Mukwala kujiunga na timu Leo.