Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia kikosi kuwasili salama Tabora

4 Feb 2024

Ahmed amesema wachezaji wapo kwenye hali nzuri huku akiwaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani kuipa sapoti Simba yao ambayo hawajaiona kwa muda mrefu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu kiwango cha mshambuliaji wetu mpya Fred Michael Kouablan.

Advertisement
Back to homepage
Share this story