Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia hali ya timu nchini Libya

12 Sep 2024

Ahmed amesema kikosi kimewasili Libya saa tano asubuhi na jioni watafanya mazoezi ya utimamu wa mwili ili kuondoa uchovu wa safari.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu hali ya hewa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story