Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia hali ya timu baada ya kufika Tunisia

23 Jan 2026

Ahmed amewatoa hofu Wanasimba kuwa nyota wetu watano tuliowasajili katika dirisha hili dogo la Januari wote wanaruhusiwa kucheza mechi ya Jumamosi na wapo tayari.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu hali ya hewa ya Tunisia ambayo ni baridi kali.

Advertisement
Back to homepage
Share this story