Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia hali ya kikosi timu ikianza mazoezi Tunisia

2 Jan 2025

Ahmed ameyasema hayo wakati akishuhudia mazoezi ya kwanza ya timu tangu kikosi kilivyofika nchini Tunisia tayari kwa mchezo wa Jumapili dhidi ya CS Sfaxien.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu kupatikana kwa leseni ya mshambuliaji, Elie Mpanzu

Advertisement
Back to homepage
Share this story