Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia hali ya kikosi kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien

12 Dec 2024

Ahmed amesema wapinzani wetu tayari wamewasili huku pia Makamishna wa mchezo wakitarajia kuingia kuanzia Leo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametoa maelekezo ya jinsi ya kununua tiketi pamoja takwimu zake mpaka sasa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story