Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia hali ya kikosi kuelekea Derby

17 Oct 2024

Ahmed amesema wachezaji waliokuwa kwenye majukumu ya timu za Taifa tayari wapo kwenye hali nzuri na jambo zuri ni kwamba wote wamepata dakika nyingi za kucheza.

Fuatilia mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia jinsi wachezaji wanavyotaka kurejesha heshima na kuondoa dharau.

Advertisement
Back to homepage
Share this story