Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed azungumzia hali ya kikosi

4 Apr 2024

Ahmed amesema ingawa wengi wamekata tamaa baada ya kupoteza mechi ya nyumbani lakini wachezaji na benchi la ufundi wanaamini lolote linawezekana katika mchezo wa kesho.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mashabiki 200 ambao watakuwepo kutupa sapoti.

Advertisement
Back to homepage
Share this story