Ahmed amesema Bodi ya Wakurugenzi imechangia sehemu ya matibabu pamoja na hela ya usafiri ya kumrudisha Mbeya lakini mashabiki nao wametoa mchango wa matibabu katika kipindi chote alichokuwa MOI.
Tazama video hii hadi mwisho Debora mwenyewe nae amewashukuru Wanasimba kwa msaada mkubwa walioyotoa.