Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed ayachambua mabao yote dhidii ya Tabora.

18 Aug 2024

Ahmed amesema jambo la kufurahisha zaidi ni kwamba wachezaji wageni tuliowasajili wamefunga mabao na yamewaongezea hali ya kujiamini.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia faida ya kutumia Uwanja wa KMC Complex.

Advertisement
Back to homepage
Share this story