Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed 'awavulia kofia' Mashujaa licha ya kichapo

2 May 2025

Ahmed amesema Mashujaa waicheza kwa mpango wao wa kujilinda muda mrefu lakini baadhi ya wachezaji walipoteza umakini kama mlinda mlango Patrick Muntari ambaye alipata kadi nyekundu ya uzembe.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amesema mpango wetu ni kushinda kila mchezo uliobaki.

Advertisement
Back to homepage
Share this story