Ahmed amesema lolote litakalotokea kuhusu kocha Fadlu mashabiki wanatakiwa kuacha kuwa na hofu kwakuwa hakuna jambo ambalo litaharibika huku akiwaomba kuendelea kuiunga mkono timu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mechi zetu za nyumbani kurejeshwa Benjamin Mkapa na mchezo dhidi ya Fountain Gate.