Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awatembelea Simba Burudani

24 May 2024

Lengo la Meneja Habari ni kuhakikisha mashabiki wanajitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid katika mchezo wetu wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakaopigwa saa 10 jioni.

Tazama video hii hadi mwisho viongozi wa Simba Burudani wamepata nafasi ya kutoa salamu kabla ya kumuachia Ahmed kuwahutubia Wanaarusha.

Advertisement
Back to homepage
Share this story