Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awasifu wachezaji ushindi dhidi ya JKT

5 May 2025

Ahmed amesema tuna ratiba ngumu kutokana na kucheza kila baada ya siku mbili lakini wachezaji wameweza kupambana kupata pointi tatu licha ya uchovu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho pia mfungaji wa bao pekee la mchezo Fabrice Ngoma ameelezea mechi ilivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story