Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awashukuru Wanatabora kwa ushirikiano mkubwa

7 Feb 2024

Ahmed amesema Wanatabora wamefanya kazi kubwa na Uongozi unathamini kila kitu ambacho wamekifanya huku akiwaomba kuendelea kufanya hivyo.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mchezo unaofuata dhidi ya Azam FC huku akisema kikosi kinaanza safari kuelekea Mwanza.

Advertisement
Back to homepage
Share this story