Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awapongeza wachezaji kwa ushindi dhidi ya JKT

15 Feb 2024

Ahmed amesema wapinzani wetu JKT hawakucheza kwa muda mrefu walikuwa wakifanya mazoezi na kucheza mechi za kirafiki kwahiyo walikuwa timamu zaidi ya wapinzani wetu.

Tazama Mahojiano hadi mwisho Ahmed amemzungumzia Clatous Chama na Kocha Abdelhak Benchikha.

Advertisement
Back to homepage
Share this story